Skip to main content
Skip to main content

Jumuiya ya madola na siasa za Tanzania

  • | BBC Swahili
    30,712 views
    Duration: 3:01
    Maridhiano baada ya maandamano na ghasia za siku ya uchaguzi wa Oktoba 29, 2025, ndiyo mada inayotawala mijadala nchini Tanzania kwa sasa. Jumuiya ya Madola imemteua aliyekuwa rais wa Malawi, Lazarus Chakwera, kuongoza juhudi hizi za kuleta maridhiano. Hatua hiyo imepokewa kwa maoni tofauti kutoka kwa makundi mbalimbali, yakiwemo wanasiasa, taasisi za kiraia, na viongozi wa madhehebu tofauti ya dini. Mwandishi wa BBC @kaijageflo1 anatueleza zaidi - - #bbcswahili #tanzania #siasa #uchaguzi2025 #Maandamano