- 35,255 viewsDuration: 28:11Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza baraza jipya la mawaziri lenye jumla ya mawaziri 27 katika mabadiliko makubwa ya uongozi wa serikali. Mawaziri wote wataapishwa kesho Jumanne. Akizungumza katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Rais Samia amesema mabadiliko hayo yanahusisha kuanzishwa kwa wizara mpya, kubadilishwa kwa baadhi ya wizara za zamani na kuingizwa kwa sura mpya serikalini. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw