Skip to main content
Skip to main content

Baraza jipya la mawaziri Tanzania. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    35,255 views
    Duration: 28:11
    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza baraza jipya la mawaziri lenye jumla ya mawaziri 27 katika mabadiliko makubwa ya uongozi wa serikali. Mawaziri wote wataapishwa kesho Jumanne. Akizungumza katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Rais Samia amesema mabadiliko hayo yanahusisha kuanzishwa kwa wizara mpya, kubadilishwa kwa baadhi ya wizara za zamani na kuingizwa kwa sura mpya serikalini. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw