Wazazi waandamana wakitaka kuondolewa kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Kamotin

  • | NTV Video
    267 views

    Hali imechacha katika shule ya Msingi ya Kamotin kaunti ndogo ya Kapenguria Pokot Magharibi, ambapo Wazazi Wameandamana na kuivamia shule hiyo wakitaka kuondolewa kwa Mwalimu mkuu.Walielezea kukerwa kwao na Mwalimu mkuu Benjamin Bii wakidai anaitisha fedha nyingi za kugharamia sekondari junia ilhali, masomo hayo yanafaa kuwa ya bure. Walitatiza shughuli za shule hiyo huku wakitaka suala hili kumulikwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya