Wakazi wazua balaa katika kijiji cha Manyatta Kisumu

  • | Citizen TV
    1,370 views

    Wakaazi wa mtaa wa Manyatta kaunti ya Kisumu hii leo walifumania duka moja la kuuza nyama, kwa madai ya kuuza nyama ambayo haijakaguliwa. Wakaazi hao wanasema, duka hilo la nyama limekuwa likitoa uvundo kila uchao, huku mchuuzi wa duka hilo akiwauzia nyama kwa bei ya chini kuliko kawaida.