8 Sep 2025 10:16 am | Citizen TV 165 views Duration: 1:46 Jamii moja katika mji wa Madogo kaunti ya Tana River inataka haki kutendeka kwa mmoja wao aliyeuwauwa kinyama na watu wasiojulikana katika eneo hilo.