13 Sep 2025 7:04 pm | Citizen TV 9,544 views Duration: 1:39 Beatrice Chebet ameishindia Kenya medali ya kwanza ya Dhahabu kwenye mbio za mita elfu 10 katika siku ya kwanza ya mashindano ya dunia jijini Tokyo nchini Japan.