Skip to main content
Skip to main content

Rais Samia:Nina imani na tume hii

  • | BBC Swahili
    31,251 views
    Duration: 44s
    Jana nimewasikia wenzetu wa upinzani wakisema eti hawana imani na tume hii na kuwa wanataka tume kutoka UN, EU… Lakini mimi kwa ubobezi na tajriba yenu nina imani na tume hii,,,. - Rais Samia Suluhu Hassan akizindua tume ya maridhiano kufuatia maandamano na machafuko yaliyosababisha vifo wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29. - - - #tanzaniantiktok🇹🇿 #uchaguzi2025 #maadamano foryoupage bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw