- 125 viewsDuration: 1:34Mamia ya wakaazi wa kaunti ya Vihiga wamenufaika kupata matibabu ya bure baada ya kanisa katoliki kaunti ya Kakamega na Vihiga kushirikiana na hospitali ya misheni ya St Lazarus Buyangu kuandaa matibabu ya bure eneo la Chavakali.