- 990 viewsDuration: 1:54Baadhi ya wazee wa jamii ya Sabaot kutoka eneo bunge la Mlima Elgon Kaunti ya Bungoma wametoa wito kwa wizara ya mazingira kutoa suluhu la kudumu dhidi ya kukatika kwa tagaa za mti wa mukuyu katika shule ya msingi ya Toroso.