Skip to main content
Skip to main content

Mafuta Ghushi Mombasa: Watu 7 wakamatwa kwa biashara haramu

  • | Citizen TV
    2,560 views
    Duration: 2:19
    Washukiwa saba wamekamatwa huku wengine wanne wakisakwa katika sakata ya utengenezaji wa mafuta ghushi ya kupikia yanayodaiwa kuwa hatari kwa matumizi ya binadamu. Mamlaka ya kukabiliana na bidhaa ghushi nchini imevunja moja ya ofisi za eneo hilo na kupata stakabadhi muhimu zitakazowezesha kubaini wamiliki halisi. Mafuta hayo yanaaminika kuingia sokoni kwa zaidi ya miezi mitatu.