Skip to main content
Skip to main content

Miaka 3 ya Ruto: Gharama ya maisha bado juu, wakenya walalamika

  • | Citizen TV
    1,351 views
    Duration: 3:11
    Miaka mitatu baada ya rais william ruto kuchukua hatamu za uongozi, bado mamilioni ya wakenya wanahangaika na gharama ya juu ya maisha. Upungufu wa mapato umewazuia wengi kukimu mahitaji ya kila siku. Licha ya serikali kuweka mikakati kama kutoa mbolea ya bei nafuu, wananchi wanaitaka serikali kuhakikisha bidhaa kama unga zinashuka bei hadi shilingi 100 kwa kilo mbili.