- 1,029 viewsDuration: 3:04Katika kipindi cha miaka mitatu ya utawala wa Kenya Kwanza, uchumi wa nchi umeonyesha matokeo mchanganyiko. Hali hii pia imeonekana katika gharama ya maisha, ambapo baadhi ya bidhaa za nyumbani zimepungua bei huku nyingine zikisalia juu.