Skip to main content
Skip to main content

Muungano wa Upinzani: Viongozi wakuu wakutana Nairobi kujadili umoja

  • | Citizen TV
    8,322 views
    Duration: 36s
    Viongozi wa upinzani wamekuwa na mkutano mwingine wa faragha leo hapa nairobi kujadili umoja wao.viongozi hao wakiwemo rigathi gachagua wa dcp, kalonzo musyoka wa wiper na wengine walikuwa na mkutano kwa zaidi ya saa tatu kujadili masuala ibuka kwenye muungano wao na pia kuamua jina rasmi la kikosi chao. Vyama hivyo vimesema vitakuwa na wagombea katika chaguzi ndogo zitakazoandaliwa novemba 27 mwaka huu.