6,777 views
Duration: 44s
Israel imetekeleza shambulizi jipya mjini Doha, Qatar na kusema kwamba ilikuwa inalenga viongozi wakuu wa Hamas.
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran Esmail Baghaei amelaani shambulizi hilo.
Je hatua hii inaweka wapi matumaini ya kusitisha mapigano huko Gaza?
Tunajadili hili mwendo wa saa tatu kamili katika Dira ya Dunia TV ukiwa naye Elizabeth Kazibure.
Unaweza kufuatilia matangazo hayo mubashara katika mitandao yetu ya YouTube na Facebook ya BBC Swahili.
#bbcswahili #israel #hamas
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw