- 10,490 viewsDuration: 3:04Israel imetekeleza shambulizi katika mji mkuu wa Qatar, Doha, ikilenga viongozi wakuu wa Hamas. Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema kwamba shambulio hilo lilikuwa la kujibu uvamizi wa Oktoba 7 mwaka 2023 wa kundi la Hamas. Aidha amedai kwamba shambulio hilo la Israel linaweza kusababisha kumalizika kwa mzozo unaoendelea. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw