Skip to main content
Skip to main content

Ethiopia yazindua bwawa kubwa zaidi la umeme katika mto Nile

  • | BBC Swahili
    5,051 views
    Duration: 9:41
    Ethiopia imezindua Bwawa la Grand Ethiopian Renaissance hii leo, lililojengwa katika mto Nile. Makumi ya viongozi wa kigeni, akiwemo Rais wa Kenya William Ruto na Ismail Guelleh wa Djibouti, waliungana na Waziri Mkuu Abiy Ahmed kwa uzinduzi huo kabla ya kuwasha mitambo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw