- 7,091 viewsDuration: 2:27Mgombea Mteule wa nafasi ya Urais kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina sasa yuko huru kuendelea na mchakato wa uchaguzi baada ya chama chake kushinda kesi dhidi ya Tume huru ya taifa ya uchaguzi (INEC). Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw