Skip to main content
Skip to main content

Wanasheria waandamana Nairobi wakilalamikia mauaji ya wakili Mbobu

  • | KBC Video
    2,997 views
    Duration: 4:01
    Mawakili waliandamana jijini Nairobi leo kulalamikia mauaji ya mwenzao Kyalo Mbobu na watu wasiojulikana. Wakiwa wamevalia mavazi meusi na kufunga tepe za zambarau, mawakili hao walitaka haki itendeke na ulinzi wa maafisa wa sheria uimarishwe. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News