Skip to main content
Skip to main content

Manufaa ya Utafiti: Wavumbuzi wahimizwa kutafuta suluhu kwa changamoto za kitaifa

  • | KBC Video
    25 views
    Duration: 1:38
    Mkuu wa utumishi wa umma Felix Koskei amevihimiza vyuo vikuu na taasisi za utafiti kuzingatia kukiuka uchapishaji taarifa za kitaaluma na badala yake kuonesha jinsi utafiti huo unavyoweka kuwa suluhu za changamoto zinazokumba taifa hili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive