Skip to main content
Skip to main content

Mtangazaji gwiji wa KBC Charles Omuga Kabisae azikwa Kisumu

  • | KBC Video
    1,292 views
    Duration: 3:30
    Aliyekuwa mtangazaji wa redio katika shirika la utangazaji la Kenya KBC, Charles Omuga Kabisae alizikwa nyumbani kwake katika eneo la Nyalenda, kaunti ya Kisumu. Kabisae alifariki tarehe 11 mwezi Agozti mwaka huu baada ya kuugua kwa muda mfupi akiwa na miaka 65. Ametajwa kama mcha mungu, mpenda familia aliwayenzi na kuwashauri wengi katika sekta ya utangazaji. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive