- 13,916 viewsDuration: 52:23Uchunguzi wa BBC Afrika Eye umefichua ukweli kuhusu tetesi zilizoenea mitandaoni chini ya kibwagizo #DubaiPortaPotty kuhusiana na kifo cha mwanamke maarufu na mshawishi wa mitandaoni aliyetokea Uganda. Uchunguzi ambao umeibua wanawake wa Uganda waliodanganywa kupelekwa UAE kwa ahadi za kazi, lakini wakaishia kulazimishwa kufanya ukahaba na kudaiwa madeni na mtu anayefahamika kama “The Untouchable.” #bbcswahili #dubai #DubaiPortaPotty #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw