Skip to main content
Skip to main content

Trump: Putin Ameniangusha

  • | BBC Swahili
    12,035 views
    Duration: 28:10
    Trump anadai ametatua migogoro saba mikubwa akiwa rais na alidhani vita vya Ukraine vingekuwa rahisi kumaliza kutokana na uhusiano wake na Putin. Hata hivyo, baada ya kumkaribisha Putin Alaska mwezi uliopita, anasema Putin amemvunja moyo na hakuna makubaliano yaliyofikiwa licha ya maendeleo kidogo. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw