- 2,438 viewsWaziri wa mambo ya ndani wa Uingereza James Cleverly ametia saini mkataba mpya na Rwanda siku ya Jumanne akijaribu kukabiliana na uamuzi wa mahakama wa kuizuia sera tata ya serikali ya Uingereza ya kuwapeleka waomba hifadhi katika taifa la Afrika Mashariki. Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. #rwanda #uingereza #mkataba #hifadhi #wahamiaji #wakimbizi #voa #voaswahili #dunianileo
Uingereza na Rwanda zatia Saini mkataba mpya wa waomba hifadhi
- - Duniani Leo ››
- 30 Nov 2024 - This is not the first time the former CS is landing a state job since he was fired by former President Uhuru Kenyatta.
- 30 Nov 2024 - Kenya Cup: Menengai Oilers eye consistency ahead of Strathmore Leos test
- 30 Nov 2024 - The government has continued to defend the rollout of SHA, with more money being spent on a nationwide campaign.
- 30 Nov 2024 - The president has been making a series of appointments in government bodies.
- 30 Nov 2024 - Parents shocker as State stops student mid-year transfers
- 30 Nov 2024 - Joyce Akinyi: From hotel owner and now convicted heroin trafficker
- 30 Nov 2024 - NHIF staff receive redeployment letters
- 30 Nov 2024 - Origins of thanksgiving week in US and key lessons for Kenyans
- 30 Nov 2024 - Former MP's abduction puzzle in funeral chaos probe
- 30 Nov 2024 - Builders, construction firms protest planned 35pc duty on tiles