KNCHR yataka uchunguzi kufanywa kuhusiana na mauaji ya kiholela nchini

  • | KBC Video
    32 views

    Tume ya kitaifa ya kutetea haki za binadamu inataka uchunguzi wa haraka kufanywa, kuhusu mauaji ya kiholela humu nchini, vitendo vya uhalifu wa kikatili na visa vya watu kutoweka kwa njia isiyoeleweka. Mwenyekiti wa tume hiyo Roseline Odede amesema tume hiyo ilinakili visa 22 vya mauaji ya kiholela na visa 9 vya watu kutoweka kwa njia isiyoeleweka kati ya mwezi Januari mwaka jana hadi Juni mwaka huu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive