Siri ya mafanikio ya Kenya katika kupambana na UKIMWI

  • | VOA Swahili
    100 views
    Uwekezaji mkubwa katika mafunzo ya wataalamu wa afya, kuongeza idadi ya vituo vya afya katika maeneo mbalimbali nchini pamoja na utoaji wa matibabu ya bure kwa wagonjwa wa UKIMWI ni miongoni mwa mambo yaliyochangia kuleta mafanikio katika kupambana na UKIMWI nchini Kenya. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.