Hospitali 12 zilizobakia zinazotoa huduma Ukanda wa Gaza ziko mashakani
Shirika la Afya Duniani, WHO, limesema Idadi ya hospitali zinazofanya kazi katika ukanda wa Gaza imepungua kutoka 36 hadi 18 tangu kuzuka kwa mapigano kati ya Israel na wanamgambo wa hamas Octoba 7.
Kwa mujibu wa WHO hospitali 12 zinazofanya kazi katika ukanda wa Gaza ndio zinatumika kama muhimili wa afya kwenye ukanda huo.
Ikizingatiwa kwamba mashambulizi ya jeshi la ardhini la Israel kusini mwa Gaza yanaweza kusababisha maelfu ya wakazi kukosa huduma za afya, na hivyo WHO imetoa wito kwa Israel kulinda raia na miundombinu.
Jumanne wagonjwa waliojeruhiwa walikuwa wanamininika katika hospitali ya Nasser moja wapo kati ya hospitali kubwa katika ukanda wa Gaza na kusababisha kituo hicho cha afya kuelekea kwenye ukingo wa kusitisha kazi zake.
Jumatatu WHO ilisema katika taarifa yake kwamba wakati raia zaidi kusini mwa Gaza bado wanapata tahadhari ya kuondoka haraka na wanalazimishwa kuondoka, watu wengi wanakusanyika pamoja katika eneo dogo , wakati hospitali zilizobaki katika eneo zinafanya kazi kukiwa na upungufu wa mafuta, madawa, chakula maji na wafanyakazi wa afya. - Reuters
#Rafah #Netanyahu #Misri #Hamas #Gaza #Palestina #IDF #hospitali #Nasser #wagonjwa #madawa
30 Nov 2024
- This is not the first time the former CS is landing a state job since he was fired by former President Uhuru Kenyatta.
30 Nov 2024
- The government has continued to defend the rollout of SHA, with more money being spent on a nationwide campaign.
30 Nov 2024
- The president has been making a series of appointments in government bodies.
30 Nov 2024
- Swaleh Yusuf was found dead on March 17, 2024, his lover Fatuma was recently jailed for 40 years and fined Sh826m for the crime.
30 Nov 2024
- This is not the first time the former CS is landing a state job since he was fired by former President Uhuru Kenyatta.
30 Nov 2024
- Kenya Cup: Menengai Oilers eye consistency ahead of Strathmore Leos test
30 Nov 2024
- The government has continued to defend the rollout of SHA, with more money being spent on a nationwide campaign.
30 Nov 2024
- The president has been making a series of appointments in government bodies.
30 Nov 2024
- Parents shocker as State stops student mid-year transfers
30 Nov 2024
- Joyce Akinyi: From hotel owner and now convicted heroin trafficker
30 Nov 2024
- 2027: Year of judgement for broken promises, litany of lies
30 Nov 2024
- Nakuru South Cemetery: A final resting place where the dead no longer find peace
30 Nov 2024
- Kura under scrutiny for paying Sh687m for incomplete projects