- 212 viewsUkosefu wa makazi na vituo salama kwa wahanga wa dhuluma za kijinsia miongoni mwa wanawake na wasichana inasalia kuwa changamoto kubwa kwa waathirika. Japo hatua kadha zimepigwa hasa katika mitaa ya mabanda ambapo visa hivi hunakiliwa zaidi nchini kenya, mashirika ya kijamii yanayowanusuru waathiriwa wa dhulma za kinjisia wanahoji serikali imekuwa ikitoa ahadi tele bila ya kuangazia kwa kina kutafuta suluhu la kudumu la dhulma dhidi ya wanawake na watoto. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Waathirika wa dhuruma za kijinsia Kenya bado wanakabiliwa na ukosefu wa makazi salama
- - Duniani Leo ››
- 30 Nov 2024 - Swaleh Yusuf was found dead on March 17, 2024, his lover Fatuma was recently jailed for 40 years and fined Sh826m for the crime.
- 30 Nov 2024 - This is not the first time the former CS is landing a state job since he was fired by former President Uhuru Kenyatta.
- 30 Nov 2024 - Kenya Cup: Menengai Oilers eye consistency ahead of Strathmore Leos test
- 30 Nov 2024 - The government has continued to defend the rollout of SHA, with more money being spent on a nationwide campaign.
- 30 Nov 2024 - The president has been making a series of appointments in government bodies.
- 30 Nov 2024 - Parents shocker as State stops student mid-year transfers
- 30 Nov 2024 - Joyce Akinyi: From hotel owner and now convicted heroin trafficker
- 30 Nov 2024 - Nakuru South Cemetery: A final resting place where the dead no longer find peace
- 30 Nov 2024 - Kura under scrutiny for paying Sh687m for incomplete projects
- 30 Nov 2024 - NHIF staff receive redeployment letters