Wanajeshi wa Uganda wakiandaa chakula la mchana

  • | VOA Swahili
    239 views
    Wanajeshi wa Uganda walioko Bunagana, Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, kama sehemu ya Majeshi ya Kikanda ya Afrika Mashariki wakiandaa ugali au sima. Wanajeshi walisema hiki ni chakula asili kwa ajili ya mlo wa mchana kabla ya kurudi kufanya doria. Wanajeshi ambao ni sehemu ya majeshi ya kikanda ya Afrika Mashariki walianza kuondoka Mashariki mwa DRC wakati Kinshasa ilipoamua kutoongeza muda wa kikosi cha kikanda cha Afrika Mashariki (EACRF) kuilinda DRC baada ya Desemba 8. - VOA #drc #kenya #wananchi #amani #maendeleo #voa #voaswahili #uganda #ugali #sima