Mwanamazingira Kenya abadilisha chupa za platiki kuwa bidhaa nyingine

  • | VOA Swahili
    219 views
    Chupa zilizotupwa kiholela ni hatari kwa mazingira na binadamu kama zilivyo chupa za Plastiki. Lakini kwa mwanamazingira mmoja huko Pwani ya Kenya hakuna taka isiyokuwa na faida an kwamba maisha yanafanywa bora ikiwa tutakuwa wabunifu. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.