Skip to main content
Skip to main content

Watu waokolewa kutoka kwenye mto uliofurika Philippines

  • | BBC Swahili
    3,895 views
    Duration: 26s
    Tazama namna walinzi wa pwani wa Philippines wakiwaokoa watu wanne baada ya mvua kubwa iliyosababishwa na kimbunga Ragasa kusababisha mto kufurika. Tukio hilo lilitokea katika jimbo la kaskazini la Ilocos Sur siku ya Jumatatu. #bbcswahili #ufilipino #kimbunga Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw