Skip to main content
Skip to main content

Je, unajua kuwa hakuna haki za binadamu bila haki ya lugha ya alama?

  • | BBC Swahili
    3,862 views
    Duration: 2:03
    Lugha ya alama si njia tu ya mawasiliano tu, ni utambulisho wetu. Ni sauti yetu. Tunataka kutambulika, kueleweka, kushirikishwa na kukubalika. Ni lugha inayotumia mikono, sura na lugha ya mwili kuwasiliana. BBC, tunajifunza lugha ya alama kila Jumatano na Ijumaa. Kwa sababu tunaamini... mawasiliano ni haki Mwandishi wa BBC @damaris_kamande anasimulia; - - @eagansalla_gifted_sounds #bbcswahili #walemavu #hakiyabinadamu #lughayaalama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw