12,302 views
Duration: 1:39
Upasuaji rekebishi (plastic surgery) ni moja ya njia za matibabu ambayo imejipatia umaarufu mkubwa katika siku za hivi karibuni, wengi wakiuhusisha na mabadiliko ya maumbile na hata urembo.
Lakini je, unafahamu aina hii ya upasuaji pia inatumika kurejesha tabasamu kwa waathirika wa ajali au mashambulizi ya kemikali?
Mwandishi wetu Bosha Nyanje alisafiri hadi jijini Mwanza kufuatilia safari ya Rehema Kwalla, mwathirika wa ajali aliyepata huduma hii.
-
-
#bbcswahili #upasuaji #ajali #Afya
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw