Skip to main content
Skip to main content

Rihanna na A$AP Rocky wamkaribisha binti yao wa kwanza

  • | BBC Swahili
    12,670 views
    Duration: 45s
    Mwanamuziki maarufu wa Pop, Rihanna amejifungua mtoto wake wa tatu, wa kike, na mpenzi wake A$AP Rocky. Mtoto amepewa jina Rocki Irish Mayers na alizaliwa tarehe 13 Septemba. 🎥: @bosha_nyanje anaelezea #bbcswahili #marekani #Rihanna Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw