Skip to main content
Skip to main content

Shimo kubwa katikati ya Bangkok

  • | BBC Swahili
    7,338 views
    Duration: 54s
    Tazama shimo kubwa lililojitokeza ardhini nje ya hospitali kubwa jijini Bangkok na kulazimisha watu kuhamishwa na barabara kufungwa katika mji mkuu wa Thailand. 🎥: frankmavura #bbcswahili #bangkok #thailand Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw