- 10,272 viewsDuration: 2:49Wakati uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025 ukikaribia nchini Tanzania, na kampeni za uchaguzi zikizidi kushika kasi. Kumejitokeza baadhi ya ahadi ambazo kwa baadhi ya zimewaacha vinywa wazi: Je ahadi hizo zinatekelezeka!? Martha Saranga anaelezea ahadi 5 zilizozua mjadala Tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw