13,162 views
Duration: 40s
Tazama kikundi cha watu karibu 25 wenye silaha kilivyovamia duka la vito huko San Ramon, California.
Kwa mujibu wa polisi bidhaa zenye thamani ya karibu dola milioni 1 ziliibiwa wakati wa wizi huo unafanyika.
Watu watatu walikuwa na silaha za moto, huku wengine wakibeba zana kama fimbo za chuma, zana zinazoweza kutumika kuvunja milango.Hakukuwa na majeruhi.
Washukiwa kadhaa walikamatwa baadaye baada ya polisi kufuatilia magari yao. Uchunguzi bado unaendelea.
#bbcswahili #california #vitovyathamani
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw