Watu 67 waliuawa na polisi wakati wa maandamano 2023

  • | KBC Video
    71 views

    Wakenya 67 walifariki kutokana na ukatili wa polisi katika maandamano 22 ya kupinga gharama ya juu ya maisha kati ya mwezi Januari na Septemba mwaka jana. Haya ni kwa mujibu wa takwimu za shirika la IMLU ,ambalo sasa linatoa wito kwa wadau wote katika sekta ya usalama kutekeleza wajibu wao kikamilifu kuzuia ukatili wa polisi wakati wa maandamano.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive