Skip to main content
Skip to main content

Je, Trump atamsukuma Netanyahu kumaliza mashambulizi ya Israel Gaza?

  • | BBC Swahili
    7,369 views
    Duration: 12:16
    Rais wa Marekani Donald Trump amesema atasukuma mpango mpya wa amani ili kumaliza vita vya Israel na Gaza wakati wa mazungumzo ya White House na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu. Trump amezungumza kuhusu matarajio ya kufikia makubaliano, akiwaambia waandishi wa habari... "Nadhani tuna makubaliano". #dirayaduniatv