Wafugaji wakosoa ugawaji wa rombo Group Ranch

  • | Citizen TV
    223 views

    Wafugaji wapatao 2,000 wa jamii ya maa wanaoishi eneo la Rombo mpakani mwa kaunti ya Taita Taveta na Kajiado wameandamana na kufunga barabara ya taveta kuelekea loitoktok wakisema ardhi ya rombo group ranch imegawanywa vibaya.