- 7,438 viewsDuration: 1:22Alexey Molchanov wa Urusi ameweka rekodi mpya ya dunia baada ya kuzama kwa kina hicho kwa pumzi moja tu. Molchanov amevunja rekodi yake mwenyewe ya dunia ya mwaka 2024 ya mita 125. 🎥: Frank Mavura #bbcswahili #urusi #michezo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw