30 Sep 2025 9:39 pm | BBC Swahili 2,457 views Duration: 7:55 Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa Hamas ina siku 3 au 4 kujibu pendekezo la mpango wa amani wa Gaza, alioutangaza akiwa na Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu jana Jumatatu. #dirayaduniatv