Skip to main content
Skip to main content

Hukumu ya kifo kwa Joseph Kabila itaathiri vipi amani mashariki mwa DRC?

  • | BBC Swahili
    11,322 views
    Duration: 6:59
    Washirika wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila, wamekataa hukumu ya kifo iliyotolewa na mahakama ya jeshi dhidi ya Kabisa. Nao raia mashariki mwa DRC wameipokea hukumu hiyo kwa mtazamo tofauti. #dirayaduniatv