4,065 views
Duration: 2:53
Dr. Jane Goodall, mwanaharakati wa haki za wanyama na mtaalamu wa sokwe, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 91.
Katika taarifa yake, Taasisi ya Jane Goodall imetangaza kuwa alifariki kwa sababu za kawaida huko California, ambako alitarajiwa kuzungumza katika ziara ya hotuba.
January Makamba kutoka Tanzania ni miongoni mwa watu waliowahi kufanya naye kazi anaelezea namna msiba huu ulivyomgusa
Video:Eagan Salla
#bbcswahili #wanyama #tanzania
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw