Skip to main content
Skip to main content

Nyumba zinaanguka baharini huko North Carolina

  • | BBC Swahili
    5,051 views
    Duration: 34s
    Nyumba tano ambazo hazikuwa na wakazi na zilikuwa juu ya nguzo zimeanguka baharini baada ya kupigwa na mawimbi hatari huko Buxton, North Carolina. Mamlaka za eneo hilo zimeripoti kuwa hakuna majeruhi lakini zimeonya kuwa kuna uwezekano wa nyumba zaidi kuanguka na kuwataka watu kuepuka eneo hilo. #bbcswahili #marekani #haliyahewa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw