Vincent Chembukha wa Mombasa ndie mshindi wa Shabiki Aviator

  • | Citizen TV
    691 views

    Vincent Chembukha kutoka kaunti ya Mombasa ndiye mshindi wa hivi punde kwenye shindano la Shabiki Aviator. Chembukha amejishindia shilingi milioni 1.4 baada ya kuwekeza shilingi 100, ambazo zilizalisha ushindi huu kwenye shindano ambalo linakuwa kwa kasi mno kwenye jukwa la shabiki.com.