- 8,129 viewsDuration: 58sMamia ya wanaharakatai akiwemo mwanamazingira kutoka Uswidi Greta Thumberg wamakamatwa mapema leo na kuzuiliw ana jeshi la Israel baada ya maboti yaliyokuwa yaki[eleka misaada Gaza kukamatwa baharini. Thumberg ambaye anajihusisha na safari ya aina hii ya maboti yenye kubeba misaada inayoelekezwa Gaza, anatarajiwa kutolewa katika eneo hilo kupitia bandari moja nchini Israel. Makundi ya wanaharakati yamekuwa yakizuiliwa baharini na jeshi la Israel kwa sababu za ‘kiusalama’ na kuzuiliwa au kulazimishwa kurejea yalipotoka. @RoncliffeOdit ana angazia taarifa hii na mengine mengi saa tatu usiku wa leo, mubashara kwenye Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw