- 3,470 viewsDuration: 2:41Watu watatu wamekamatwa nchini Tanzania kufuatia vurugu zilizozuka baada ya watu wasiojulikana kushambulia mabasi yaendayo haraka, almaarufu kama mwendokasi. Kufuatia vurugu hizo, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi wapya katika taasisi zinazosimamia huduma za mabasi hayo yaendayo haraka jijini Dar es Salaam.