Skip to main content
Skip to main content

Mwanamume adungwa kisu hadi kufa Kisumu

  • | KTN News
    441 views
    Duration: 1:56
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube –Polisi mjini Kisumu wameanzisha uchunguzi kufuatia mauaji ya kinyama ya Silas Onyango, kijana mwenye umri wa miaka 30 aliyeuawa kwa kudungwa kisu mara kadhaa katika eneo la Korando, Kaunti ya Kisumu. Mauaji haya yamezua hofu na taharuki miongoni mwa wakazi, huku familia na jamii zikitaka wahusika wakamatwe na haki itendeke. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews