- 54 viewsDuration: 1:19MGENI NJOO… Wanafunzi wa shule ya Nyakome katika eneo la Marani, kaunti ya Kisii wamepata afueni kufuatia ujenzi wa bweni linalotarajiwa kupunguza msongamano kwa wanafunzi hao walio na matatizo ya kusikia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News